KAMPENI YA KIMATAIFA YA KUKOMESHA UBAKAJI NA JINSIAGAHASIA MIGOGORO
Idadi ya wanawake wanaojereuliwa ama kubakwa unaogezeka ulimwenguni pote. Katibu mukurugezi wa umoja wa mataifa alihakikisha ya kuwa ni mwanamke moja juu ya tatu anayebakwa . Ni hesabu millioni ya wa wanawake wanaohatarishwa .Fikiri wanawake milioni moja wakisimama kwa kupiganisha ubakaji na ujeru wakishindikizwa na wanaume milioni moja.
1.Vikundi na watu mbalimbali ulimwenguni wanapiganisha ubakaji tangu miaka mengi kwa juhudi na uhodari.
2. Kwa kuweka nanga ama kumaliza ubakaji wakati wa vita . Kampeni ya ulimwegu ya kimataifa ya kukomesha ubakaji na Jinsia gahasia migogoro, kampeni inayoendeshwa na waliopewa tuza la Nobel kampeni hii inaunganisha vikundi zile kwa kuunganisha ,kutayarisha mstasari (plan) na kutayarisha namna bora ya kujiunga pamoja kwa kufikia ukomo wa kuweka nanga kwa ujeuri huu.( fleau)
Kampeni itaweka mukazo kwa kuepusha ubakaji ama ujeuri ,ukingo, na kufungwa kwa namna ya upekee kwa wale watenda ubakaji na utafuti wakushangaza pesa kwa kusaidia waliobakwa na kuwashindikiza ili wapewe haki yao.
Pamoja tunaunda kundi kubwa kutoka chini kupanda juu. Tunapo jiunga wengi kwa kutumika pamoja ,kwa kuleta mabadiliko ,mabadiliko yatatokea haraka . Kwa mwezi wa 9 mwaka 2011 ,komiti ya ushauri wa kampeni ,tulianza kufikiri namna gani tutaendelesha. Yakufuata ni neno muhimu ya kampeni na tunawaalika kujiunga nasi.( noms des membres du comité consultatif)
Wanamemba wa Komiti ya ushauri ni :
Korto Williams/ActionAid International,
Stephen Lewis & Paula Donovan/AIDS Free World,
Widney Brown/Amnesty International,
Lydia Alpizar/Association pour les droits de la femme et le développement (AWID),
Radhika Balakrishnan/Center for Women’s Global Leadership,
Rada Boric/Centre pour les femmes victimes de la guerre,
Bineta Diop/Femmes Africa Solidarité,
Shalini Nataraj/Global Fund for Women,
Francesca de Gasparis/Green Belt Movement,
Liesl Gerntholtz/Human Rights Watch,
Marusia Lopez Cruz/JASS Mesoamerica,
Patricia Guerrero/Displaced Women’s League & Observatory Gender Democracy and Human Rights,
Jody Williams, Shirin Ebadi, Mairead Maguire, Leymah Gbowee/Nobel Women's Initiative,
Pat Mitchell/Paley Center for Media,
Dr Denis Mukwege/Clinique Panzi,
Ann Patterson/Peace People,
Susannah Sirkin/Médecins pour les droits de l'homme,
Fahima Hashim/Salmmah Women’s Resource Centre & SuWEP,
Julienne Lusenge/Solidarité féminine pour la paix et le développement intégral (SOFEPADI) et Fonds pour les femmes congolaises,
Dean Peacock/Sonke Gender Justice Network,
Lynne Twist/Soul of Money Institute,
Eve Ensler/V-Day,
Maha Abu-Dayyeh/Women’s Centre for Legal Aid and Counseling,
Naw Htoo Paw/Women’s League of Burma,
Lauren Wolfe/Women’s Media Center’s Women Under Siege Project,
Jensine Larsen/WorldPulse.
Tunaalika vikundi na watu wenyi kuhudumia wabakwa, kujiunga na kampeni ya kusimamisha ubakaji unayolignanishwa na kinakike ama kinaume haraka kwa kupiganisha na kusimaishsa ubakaji wakati wa vita.
NENO MUHIMU LA KAMPENI
KAMPENI KWA AJILI YA KUWEKA NANGA KWA UBAKAJI INAYOLINGANISHWA NA KINAKIKE AMA UNUME WAKATI WA VITA.
-KWA kuwatunafikiri ulimwenguni pasipo vita ,pasipo ubakaji na ujeuri wowote unaolignanisha na kinakike ama unaume wakati wa pahali wanawake na wanaume wanaishi usawasawa
-Kwa kuwa ubakaji na ujeuri unaolinganisha na unakike na unaume,yanakuwa namna ya namna ya kutenda maovu wakati wa vita kwa kiburi ama wakati wa ukosefu wa amani
-Kwa kuwa miaka zilizopita ,hesabu kubwa ya wanawake na mara ingine wanaume na vijana pia,wanateshwa ,wanajereuliwa na vidonda vya mwili kufuatana na ubakaji ama ujeuri unaolinganishwa na hali ya unakike ama unaume wakati wa vita na wakati wowote wa ukosefu wa amani ,na pia wanateswa na haya na ubaguzi inayofunga wabakwa kutokujifungua ama kutokueleza waliyotendewa.
-Kwa kuwa watenda maovu yale hawaazibiwe na uksefu wakuhazibiwa umeshimikwa
-Kwa kuwa maagano za inchi za bara za ulimwengu kwa kumaliza ubakaji na ujeuri unayolinganishwa na kinakike ama kinaume wakati wa vita ama wakati wowote wa ukosefu wa amani ,kwa kweli haziambatane na mara zingine na maovu waliyotenda ama haitumiwe kwa kuhukumu watenda ubakaji na ujeuri yale.
-Kwa kuwa wanawake na wasichana ,na hata wanaume na vijana ulimwenguni wanaomba uhaki na wanaitajia haki.
Tumeomba:
*Uongozi (leadership) wa nguvu na haraka kwa gazi zote : vijijini,inchini,barani na ulimwenguni kwa kipiganisha na kukataza ubakaji na ujeuri unalinganisha na hali ya kinakike ama unaume wakati wa vita ama wakati wowote wa ukosefu wa amani.
*Uongozaji wa kuonekana kwa kuepusha na ukingo na uponyaji wa kiakili, kimwili ya wabakwa na jamaa zao na jamala zote, na pia nguvu zote za ziwekwe pamoja kwa kukomesha ubaguzi ama masengeyo yenye kufuatana na wabakwa
*Uhaki kwa wabakwa ,kufungwa kwa watenda ubakaji na ujeuri inchin,barani na ulimwenguni; na kupewa (reparation) kwa wabakwa na wale waliojereuliwa.